Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC),  Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph.
 Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Simon Delens (kulia), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Tumaini Joseph (wa pili kushoto) akikabidhi cheti kwa mmoja wa washiriki wa semina ya utengenezaji wa matofali, Ramadhani Msati (kulia) iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Afya na Usalama wa TPCC, Alfred Antony na Mhandisi Emmanuel Owoya wa Twiga Cement.  
 Meneja Afya na Usalama wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Alfred Anthony (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya, Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph na Mkurugenzi wa Biashara, Simon Delens.
Baadhi ya watengeneza matofali wakipozi kwa picha baada ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali kwa ajili ya shughulia zao za kila siku. Vifaa walivyokabidhiwa ni glovu, buti, mask na makoti. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...