Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi
Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, ambapo Wazee wa Pwani walimtunuku Dkt. Slaa jina la Chifu Mwinyikambi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2015

    Sio baraza la wazee wa Pwani kama anavyodai Dr.Slaa ,huu ni mchezo kuigiza au Bongo Move ni baadhi ya wazee wenye njaa wakakubali kuigiza katika mchezo huu,
    lakini atakapo pita mitaa ya watoto wa mbwa watambwakia tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2015

    Safi sana. Inaleta faraja kuona wazee wa pwani na maeneo mengine ya tanzania wameanza kuikubali chadema. Hongera Dr. Slaa, juhudi zako ktk kupiga vita ufisadi na kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii zinaonekana. Tunatarajia Chadema itachukua Ikulu, bunge, au vyote ktk uchaguzi mkuu wa october mwaka huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...