Katibu
wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange
(kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti
maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa
mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam
leo mchana.
Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...