President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets with South Centre Executive Director Martin Khor in Geneva this afternoon .President Kikwete is in Geneva to attend the High Level Panel on the Global Response to Health crises.
The Chairman of the High Level Panel on the Global Response to Health crises President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Celso Amorim a panel member from Brazil during one of the consultative sessions held at World Health Organization(WHO) Headquarters in Geneva this morning. (photos by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sanamu hiki kilichonyuma ya Rais wetu ni cha Shiva (mmoja ya Miungu ya WaHindu) akicheza dansi ya Nataraja...

    Mie nimeishangaa kukiona hapo... kwa wale mnaopenda kusoma kuhusu 'conspiracy theories' [njama] mtashangaa kujua kwamba kuna sanamu kama hiki mjini Geneva katika shirika la utafiti cha CERN [European Organization for Nuclear Research].

    Jiulize.. kati ya sanamu zooooooooooote duniani... wameichagua hiki?

    Wasioni amini sikiliza maneno ya Profesa J. Robert Oppenheimer [mmoja kati ya wanaitwa 'baba wa bomu la atomiki'] akiongea kuhusu Mungu mwingine ya WaHindu - Vishnu:

    https://www.youtube.com/watch?v=n8H7Jibx-c0

    Wadau mnasemaje?


    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2015

    Mdau wa kwanza unashangaa hiyo tu, Mbona yapo mengi sana hayo makitu kwenye international organizations mingi. Angalia Logo ya UN Habitat pia utaelewa. Tatizo Madhumuni ya hizi organizations zooote hatuyajui sisi ni kufuata mkumbo mtu.And ukiuuliza sana na kufumbua watu macho unaondolewa au unatengwa, Watu kwa sasa wanawashangaa sana watu wa North Korea jinsi wanavyojitenga, Wnapewa majina ya kila aina, sanctions haziishi...Ila ipo siku mtakuja kujua why, Nafaida ya kujitenga kwao mtaijua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...