President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets with South Centre Executive Director Martin Khor in Geneva this afternoon .President Kikwete is in Geneva to attend the High Level Panel on the Global Response to Health crises.
The Chairman of the High Level Panel on the Global Response to Health crises President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Celso Amorim a panel member from Brazil during one of the consultative sessions held at World Health Organization(WHO) Headquarters in Geneva this morning.
(photos by Freddy Maro)
Sanamu hiki kilichonyuma ya Rais wetu ni cha Shiva (mmoja ya Miungu ya WaHindu) akicheza dansi ya Nataraja...
ReplyDeleteMie nimeishangaa kukiona hapo... kwa wale mnaopenda kusoma kuhusu 'conspiracy theories' [njama] mtashangaa kujua kwamba kuna sanamu kama hiki mjini Geneva katika shirika la utafiti cha CERN [European Organization for Nuclear Research].
Jiulize.. kati ya sanamu zooooooooooote duniani... wameichagua hiki?
Wasioni amini sikiliza maneno ya Profesa J. Robert Oppenheimer [mmoja kati ya wanaitwa 'baba wa bomu la atomiki'] akiongea kuhusu Mungu mwingine ya WaHindu - Vishnu:
https://www.youtube.com/watch?v=n8H7Jibx-c0
Wadau mnasemaje?
Mdau wa kwanza unashangaa hiyo tu, Mbona yapo mengi sana hayo makitu kwenye international organizations mingi. Angalia Logo ya UN Habitat pia utaelewa. Tatizo Madhumuni ya hizi organizations zooote hatuyajui sisi ni kufuata mkumbo mtu.And ukiuuliza sana na kufumbua watu macho unaondolewa au unatengwa, Watu kwa sasa wanawashangaa sana watu wa North Korea jinsi wanavyojitenga, Wnapewa majina ya kila aina, sanctions haziishi...Ila ipo siku mtakuja kujua why, Nafaida ya kujitenga kwao mtaijua.
ReplyDelete