Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (kushoto) akishangilia na wanariadha wenzake kutoka Zimbabwer baada ya kuvalishwa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.nafasi ya kwanza na ya tatu ilikwenda kwa wanariadha kutoka Jeshi la Polisi la Zimbabwe(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Swaziland).
Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (wa pili) akipambana na wanariadha wengine katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) yanayoendelea nchini Swaziland.Fabian Nelson alishinda medali ya Fedha baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2015

    Hongera Fabian kwa ushindi huu unaoleta matarajio kwa matokeo mazuri zaidi siku zijazo.

    ReplyDelete
  2. Hongera Fabian lakini pia hongereni sana NMB Bank kwa udhamini wenu...nimeiona alama yenu kwenye Jersey ya Fabian,natumai mtaendelea kujitoa kwenye michezo mbadala.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2015

    Hongera Nelson Fabia kwa medali yako ya fedha.

    Mwandishi ilikuwa ni mita 10,000.

    Sio KILOMITA 10,000.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...