UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa
mnada wa hadhara gari, generator, fanicha za ofisi na nyumbani, makontena na mashine za gym tarehe
11 Julai, 2015 Jumamosi saa 3:00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.
MALI ZITAKAZOUZWA:sofa sets, chest drawer, recliner, dressers, coffee table, book
shelve, meza za ofisi/viti, dining table/chairs, carpet, hoover, vitanda, magodoro, fridges, freezer, cookers, TV
set, washer, dryer, computer set, photocopy m/c, A/c split units, portable toilets, Gym equipments:Stairmaster
Eliptical, Comber, Kettler Butterfly,Treadmill, na vingine vingi
Gari, Genereta & Makontena yatakayouzwa:
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
1
|
Ford Everest
S/ Wagon
|
WL Diesel
Engine
|
2007
|
Bado
|
2
|
Generator
|
60 & 81 KVA
Silent
|
Bado
|
|
3
|
Empty Container
|
40 & 20 Fts
|
2012, 2011,1995
|
Bado
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 9 na
10 Julai, 2015 kuanzia saa 4.00. asubuhi
mpaka saa 10.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi wa furniture na genereta atatakiwa kulipa malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 5 za kazi, ukishindwa kulipa kwa muda huo gari litauzwa kwa mshindi mwingine aliyefwata na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi.Kwa maelezo zaidi waone:
- Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
SIMU NA: 0754-284
926, 0757 284 926 Email :
universalauction@hotamail.com
DAR ES SALAAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...