Wananchi wajitokeza kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura Kutoka kushoto ni Mzee Thomas Fulla akijiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo, Kulia aliyekaa ni  Mwandikishaji msaidizi,Hawa Bushiri na Mwongozaji wa kutumia mashine za (BVR), Biometric Vote Registration Salimu Said.
 Mzee Thomas Fulla akijiandaa kupiga picha kwaajili ya kupata kitambulisho cha kumwezesha kupiga kura mwaka 2015,wakati wa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Wananchi wakiwa katika  foleni ya kujiandikisha mara baada ya kupata namba ambazo zitamwezesha kufikia kujiandikisha kwa wanao andikisha leo katika,ikiwa kila kituo inaakiwa kuandikisha watu 100 na mpaka kuikia saa tano namba 1hadi 100 zilikuwa ayai mikononi mwa watu waliojitokeza  kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...