Maaskofu kutoka nchi
mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote,
lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za
kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili
![]() |
Moja ya kikundi cha
kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.
|

Askofu Gadi akisimikwa
na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili
Askofu Gadi akivikwa
kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote
Tanzania Jumapili
Askofu Prof. Nathan
Kihara kutoka Chuo Kikuu cha United Kingdom, Marekani (katikato), akimkabidhi
Askofu Charles Gadi cheti cha udaktari wa heshima baada ya kutunukiwa shahada
mbili kwa kutambua mchango wake katika jamii ikiwa ni pamoja na kuombea
viongozi wa kitaifa akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...