Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC walipokwenda kumuaga nyumbani kwake Bethesda Maryland.
Mhe Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Agnes Mutta Mke wa Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Mhe Balozi Liberata Mulamula pamoja na Mkuu wa Utawala Lily Munanka wakibadilishana mawazo pamoja na familia ya Mwambata wa Jeshi.
Upinzani safari hii kuna vikumbo vya vigogo wa kisiasa..mara Slaa sasa mara huyu, mambo ni shwari kweli? kuenguana kisiasa kunaendaje endaje?
ReplyDeleteMatukio ya hivi karibuni katika baadhi ya vyama vya upinzani, yanaonyesha vyama hivi vinapitia mtikisiko, mitafaruku ya kutokuelewana kati ya viongozi, ikiwemo kile kinachoitwa kutaka kumalizana kisiasa.
ReplyDeleteUpinzani na kuondoka kwa Balozi kunahusiana nini hapa?
ReplyDelete