Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja  na baadhi ya Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC walipokwenda kumuaga nyumbani kwake Bethesda Maryland.
Safari ya kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dulles ikianza.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Agnes Mutta Mke wa Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Mhe Balozi Liberata Mulamula pamoja na Mkuu wa Utawala Lily Munanka wakibadilishana mawazo pamoja na familia ya Mwambata wa Jeshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Upinzani safari hii kuna vikumbo vya vigogo wa kisiasa..mara Slaa sasa mara huyu, mambo ni shwari kweli? kuenguana kisiasa kunaendaje endaje?

    ReplyDelete
  2. Matukio ya hivi karibuni katika baadhi ya vyama vya upinzani, yanaonyesha vyama hivi vinapitia mtikisiko, mitafaruku ya kutokuelewana kati ya viongozi, ikiwemo kile kinachoitwa kutaka kumalizana kisiasa.

    ReplyDelete
  3. Upinzani na kuondoka kwa Balozi kunahusiana nini hapa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...