Mgombea
nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali
Mohamed
Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea
katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja
kuchukua
fomu leo.
Mgombea
nafasi
ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed
Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea
katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja
kuchukua
fomu leo.
[Picha na Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...