Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015.
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015.
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb, aliyeko katikati) pamoja na Uongozi wa juu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali na urembo katika Chuo hicho jijini Dar es Dar es salaam tarehe 20/08/2015.
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb, aliyeko katikati), viongozi wa juu wa Chuo Kikuu Huria chaTanzania na wawakilishi wa asasi ya ‘Nafasi Opportunity Society’ wakiwa kwenye picha ya pamoja na wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es Dar es salaam tarehe 20/08/2015.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...