Boti la Viking Line ambalo FC Kilimanjaro na washabiki wake watalitumia kwenda Helsinki.

1.Kikosi kamil cha FC Kilimanjaro cha Stockholm Sweden mara baada ya kuibuka na ushindi mmojawapo mwezi uliopita. Kikosi hicho kimeahidi ushindi mkubwa tu juko Helsinki.

MATAYARISHO YOTE YA SAFARI YA FC KILIMANJARO YA STOCKHOLM SWEDEN KUELEKEA HELSINK FINLAND KWA PAMBANO LA MPIRA WA MIGUU NA FC BONGO YAMEKAMILIKA.

Timu ya FC Kilimanjaro itaondoka siku ya Ijumaa tarehe 21/August mnamo mida ya saa tisa na nusu jioni. Timu hiyo na washabiki wake watasafiri na boti kubwa kabisa la MS Mariella na kujumuika pamoja kwenye burudani mbali mbali ndani ya boti hilo.

Kwa washabiki ambao hawaja kata, tiketi bado zipo na wanaweza kupata kwenye www.viking.se boti la Helsinki tar 21/August.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duh hii safari ni ya aina yake mm nilikuwepo mara ya mwisho safari ilinoga kyanzia ndani ya boti mpaka uwanjani.
    Mdau Karlstad

    ReplyDelete
  2. Great Post Admin!

    We sell high-quality buffalo drinking horns for over 35 years now. Our main operational areas include the UK, USA, Italy, and China.

    drinking horn

    viking drinking horn

    viking drinking horn with stand

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...