Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth Rusangi  katika kongamano la Pili la Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Bw. Awadh Massawe.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake katika kufanikisha kongamano hilo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wana diaspora wanaweza kutoa mchango zaidi kuendeleza nchi ya Tanzania, tembelea nchi yako mara kwa mara wekeza unapoweza ili uendeleze nchi hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...