Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa Mawasiliano (TPA) Bi. Janeth
Rusangi katika kongamano la Pili la
Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa (TPA)
Bw. Awadh Massawe.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia cheti Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka wa Usimamizi wa Bandari Bw. Awadh Massawe kwa mchango wake
katika kufanikisha kongamano hilo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa kongamano hilo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Wana diaspora wanaweza kutoa mchango zaidi kuendeleza nchi ya Tanzania, tembelea nchi yako mara kwa mara wekeza unapoweza ili uendeleze nchi hii.
ReplyDelete