Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mama wa Mitindo Asya Khamsin Idarous na kikosi kazi Ngoma Africa Band mmefanya kweli naona muziki na mitindo ya mavazi mambo mswano

    ReplyDelete
  2. Ankal Michuzi na timu yako asanteni sana hii video babu kubwa sana sana

    ReplyDelete
  3. Kweli Tanzania ina utajiri wa wabunifu wa mitindo ya nguo na wanamuziki wenye
    ustadi katika fani zao hii hafla inaonekana sio ya kitoto jinsi ilivyokuwa nzito kuanzia manzali mpaka mziki wenye ujumbe mzito kutoka kwao ngoma africa band inayoongezwa na kamanda mkuu ras makunja

    ReplyDelete
  4. hongereni sana Mama wa mitindo Asia Khamsin na kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka ffu-ughaibuni naona shughuli hii ni ya kikubwa mno sio ya kitoto

    ReplyDelete
  5. Safi sana Ankali Michuzi nasikia mdundo na sauti za wazee wa kazi ughaibuni zikisindikiza hafla ya kiutu uzima kweli tunajivunia JK mchapa kazi anamaliza kazi wakati tunamuhitaji kama waimbavyo ffu-ughaibuni

    ReplyDelete
  6. Sauti za simba wa ngoma afrika band zinaunguruma hakuna wakusimama kwa mdundo huo ulifit na mitindo ya mavazi hongereni mmejua kuipangilia hafla ya Diaspora

    ReplyDelete
  7. Muziki wa ffu umetulia na mitindo ya mavazi ni babu kubwa sana

    ReplyDelete
  8. Yes! si mchezo zinasikika sauti za viumbe wa ajabu ngoma africa zikishambulia bila ya kumeza mistari kama ilivyo kawaida yao rais JK anaambiwa kazi aijakwisha ushauri wake unahitajika akifika Msoga hasizime simu ! kweli FFU wamepinda akili

    ReplyDelete
  9. Kama juhudi hizi zikiendelezwa Tanzania kama itawatumia raia wake wa nje tunafika mbali sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...