Mzee Paul
Sozigwa (pichani) ambaye alipotea tangu Jumapili mchana katika mazingira ya kitatanishi amepatikana akiwa salama salimini.
Kwa mujibu wa ujumbe kutoka kwa familia Mzee Sozigwa, alipatikana jana (Jumatatu) usiku na kwamba hali yake ni njema. Mzee Sozigwa aliwahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais katika serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Nyerere.
"Asante sana kaka Michuzi. Tunaamini ya kwamba kutokana na tangazo kwenye blog yako imefanikisha zoezi zima na Baba amepatikana jana usiku. Mungu Akubariki sana!" ilisema taarifa hiyo iliyoletwa Globu ya Jamii leo na Salome Sozigwa Mjema

Globu ya Jamii inapenda kuipongeza familia ya Mzee Sozigwa na kuishukuru kwa kuonesha imani yake kwetu wakati wa changamoto hiyo.
Way to go Ankal
ReplyDeleteAbove all it is the most read blog in earth in our native language.
Ahsante Ankal
Glad to hear he has been found, salama usalimin.
ReplyDeleteI was following the news for I know this young man. We were together Tabora school and later Makerere
God bless,thanks Michuzi blog
Wakatabahu