Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.
Home
Unlabelled
Ngoma Africa band na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wanogesha hafla ya kongamano la Diaspora hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mama wa Mitindo Asya Khamsin Idarous na kikosi kazi Ngoma Africa Band mmefanya kweli naona muziki na mitindo ya mavazi mambo mswano
ReplyDeleteAnkal Michuzi na timu yako asanteni sana hii video babu kubwa sana sana
ReplyDeleteKweli Tanzania ina utajiri wa wabunifu wa mitindo ya nguo na wanamuziki wenye
ReplyDeleteustadi katika fani zao hii hafla inaonekana sio ya kitoto jinsi ilivyokuwa nzito kuanzia manzali mpaka mziki wenye ujumbe mzito kutoka kwao ngoma africa band inayoongezwa na kamanda mkuu ras makunja
hongereni sana Mama wa mitindo Asia Khamsin na kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka ffu-ughaibuni naona shughuli hii ni ya kikubwa mno sio ya kitoto
ReplyDeleteSafi sana Ankali Michuzi nasikia mdundo na sauti za wazee wa kazi ughaibuni zikisindikiza hafla ya kiutu uzima kweli tunajivunia JK mchapa kazi anamaliza kazi wakati tunamuhitaji kama waimbavyo ffu-ughaibuni
ReplyDeleteSauti za simba wa ngoma afrika band zinaunguruma hakuna wakusimama kwa mdundo huo ulifit na mitindo ya mavazi hongereni mmejua kuipangilia hafla ya Diaspora
ReplyDeleteMuziki wa ffu umetulia na mitindo ya mavazi ni babu kubwa sana
ReplyDeleteYes! si mchezo zinasikika sauti za viumbe wa ajabu ngoma africa zikishambulia bila ya kumeza mistari kama ilivyo kawaida yao rais JK anaambiwa kazi aijakwisha ushauri wake unahitajika akifika Msoga hasizime simu ! kweli FFU wamepinda akili
ReplyDeleteKama juhudi hizi zikiendelezwa Tanzania kama itawatumia raia wake wa nje tunafika mbali sana
ReplyDelete