SIMUTV: Nape azungumzia ufunguzi rasmi wa kampeni za CCM hii leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.
SIMUTV: Nape Nauye asema kwa mara ya kwanza uongozi wa CCM umezingatia demokrasia kwa Kumteua Mgombea mwenza Mwanamke, huku akitanabaisha mfumo wa CCM.
SIMUTV: Nape Nauye azungumzia wanao kihama chama chao huku akisema ni jambo jema kwani wanakipa ahueni chama cha Mapinduzi
SIMUTV: Mchambuzi mahili wa Siasa Hamphrey Polepole, azungumzia kasumba ya baadhi ya Mkada wa CCM kukatwa huku akisema dhahiri kwamba vigezo na mashariti vilizingatiwa kikamilifu
SIMUTV: Mchambuzi Hamphrey Polepole Akinzana na hoja pamoja na kuhama kwa Fredrick Sumaye huku akisema yeye ndiye aliyekuwa akimponda Lowassa akimwita Fisadi na aliapa kujitoa CCM endapo akichaguliwa, iweje leo anaungana naye ili hali alimwita Fisadi; https://youtu.be/J-5ljUokNog
SIMUTV: Hamprey Polepole atanabaisha dhahiri kwa hoja tunduizi ya kwamba, Dr.Magufuli alikidhi vigezo na Masharti yote yaliyowekwa na CCM hivyo ni Chaguo Sahihi
SIMUTV: Hamphrey Polepole, asema si vibaya mtu kuwa tajiri ila jinsi unavyotumia utajiri wako kama kiongozi ndio tatizo kubwa huku akelezea mienendo na mashaka ya baadhi ya Viongozi wa juu katika kusaka madaraka kwa utajiri wao; http://youtu.be/xZ6E5Cyykuo
People choice, let people choose who they like.
ReplyDeleteHapo Kenya walimchagua Uhuru Kenyatta while he was criminal suspect.
That what called democrasy .
Jamaa hana hoja. Any politician has to evolve with time. Siasa zinaenda na wakati dogo achana na mawazo mgando.
ReplyDeleteBwn Pole Pole una ona mbali na kwa kina. Mungu akubariki. Ila Watanzania wengi tunalia na mfumo uliyotufikisha hapa tulipo. Pengo kubwa Tajiri na Maskini, Urban - rural, Jinsia n.k. Kwa sasa Wengi hatuangalii Mtu. na Mtu akiwa fursa ya kubomoa mfumo kandamizi uliyopo, basi huyo ametusaidia. Bora mwizi umjuaye kuliko mwizi anayejifunika ngozi ya Kondoo.
ReplyDelete