SIMUTV: Nape azungumzia ufunguzi rasmi wa kampeni za CCM hii leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.
SIMUTV: Nape Nauye asema kwa mara ya kwanza uongozi wa CCM umezingatia demokrasia kwa Kumteua Mgombea mwenza Mwanamke, huku akitanabaisha mfumo wa CCM.
SIMUTV: Nape Nauye azungumzia wanao kihama chama chao huku akisema ni jambo jema kwani wanakipa ahueni chama cha Mapinduzi
SIMUTV: Mchambuzi mahili wa Siasa Hamphrey Polepole, azungumzia kasumba ya baadhi ya Mkada wa CCM kukatwa huku akisema dhahiri kwamba vigezo na mashariti vilizingatiwa kikamilifu
SIMUTV: Mchambuzi Hamphrey Polepole Akinzana na hoja pamoja na kuhama kwa Fredrick Sumaye huku akisema yeye ndiye aliyekuwa akimponda Lowassa akimwita Fisadi na aliapa kujitoa CCM endapo akichaguliwa, iweje leo anaungana naye ili hali alimwita Fisadi; https://youtu.be/J-5ljUokNog
SIMUTV: Hamprey Polepole atanabaisha dhahiri kwa hoja tunduizi ya kwamba, Dr.Magufuli alikidhi vigezo na Masharti yote yaliyowekwa na CCM hivyo ni Chaguo Sahihi
SIMUTV: Hamphrey Polepole, asema si vibaya mtu kuwa tajiri ila jinsi unavyotumia utajiri wako kama kiongozi ndio tatizo kubwa huku akelezea mienendo na mashaka ya baadhi ya Viongozi wa juu katika kusaka madaraka kwa utajiri wao; http://youtu.be/xZ6E5Cyykuo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. People choice, let people choose who they like.
    Hapo Kenya walimchagua Uhuru Kenyatta while he was criminal suspect.
    That what called democrasy .

    ReplyDelete
  2. Jamaa hana hoja. Any politician has to evolve with time. Siasa zinaenda na wakati dogo achana na mawazo mgando.

    ReplyDelete
  3. Bwn Pole Pole una ona mbali na kwa kina. Mungu akubariki. Ila Watanzania wengi tunalia na mfumo uliyotufikisha hapa tulipo. Pengo kubwa Tajiri na Maskini, Urban - rural, Jinsia n.k. Kwa sasa Wengi hatuangalii Mtu. na Mtu akiwa fursa ya kubomoa mfumo kandamizi uliyopo, basi huyo ametusaidia. Bora mwizi umjuaye kuliko mwizi anayejifunika ngozi ya Kondoo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...