
Mheshimiwa Mohamed Chande Othman,Jaji Mkuu wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mkubwa, Said Mohamed Chande Othman (24), kilichotokea katika hospitali ya Aga Khan jijini DAr es salaam tarehe 24 Agosti,2015.
Marehemu Said Othman alikuwa ni mfanyakazi katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 25 Agosti,2015 saa kumi jioni huko Chumbageni, Tanga.
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun.
poleni sana. inasikitisha
ReplyDeletePumzika kwa amani Said
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Rest in peace Said. #thegooddieyoung
ReplyDeleteInna Lillah Wainna Ilayhi Rajiuun. Allah ampe kauli thabit, awajaalie subra na thawabu za msiba huu wazazi, ndugu na jamaa woote. Wabillah Toufik
ReplyDeleterest in peace Said.Words are failing me dah!
ReplyDeleteMwenyeezi Mungu ampumzishe kwa amani, amsamehe makosa yake na amjaalie pepo ya firdaus, amin.
ReplyDeleteWafiwa muwe pole na Mw Mungu akupeni subira.