Mheshimiwa Mohamed Chande Othman,Jaji Mkuu wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mkubwa, Said Mohamed Chande Othman (24), kilichotokea katika hospitali ya Aga Khan jijini DAr es salaam tarehe 24 Agosti,2015.


Marehemu Said Othman alikuwa ni mfanyakazi katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).



Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 25 Agosti,2015 saa kumi jioni huko Chumbageni, Tanga.



Inna lillahi wainna ilayhi raajiun.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. poleni sana. inasikitisha

    ReplyDelete
  2. Pumzika kwa amani Said

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wafiwa. Rest in peace Said. #thegooddieyoung

    ReplyDelete
  4. Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiuun. Allah ampe kauli thabit, awajaalie subra na thawabu za msiba huu wazazi, ndugu na jamaa woote. Wabillah Toufik

    ReplyDelete
  5. rest in peace Said.Words are failing me dah!

    ReplyDelete
  6. Mwenyeezi Mungu ampumzishe kwa amani, amsamehe makosa yake na amjaalie pepo ya firdaus, amin.

    Wafiwa muwe pole na Mw Mungu akupeni subira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...