Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa tatu kutoka kulia) akifanya mazoezi na Watumishi wa ofisi yake wakati wa Bonanza
la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi lililofanyika Leaders Club siku ya
Jumamosi Septemba 12, 2015.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifanya
mazoezi ya viungo wakati wa Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi
lililofanyika Leaders Club siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) akifungua Bonanza la Watumishi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club siku ya Jumamosi
Septemba 12, 2015.
Picha na James K. Mwanamyoto
Afisa Habari,
Ofisi ya Rais-Utumishi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...