Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani.
Baadhi ya Madini ya Vito kutoka Tanzania yakiwa katika banda la Tanzania kwa ajili ya mauzo kwa Wafanyabiashara wa nchi mbalimbali waliofika katika banda hilo kununua kutoka kwa wafanyabiashara wa Tanzania. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...