Star TV: Mgombea Uraisi Zanzibar Dkt. Ally Mohamed Shein aahidi kuendelea kulinda katiba ya Zanzibar na mwafaka wa serikali ya Umoja wa kitaifahttps://youtu.be/ceErRUcjnHE
TBC: Mahujaji watarajiwa washindwa kufanikisha safari ya kwenda kuhiji Mji Mtakatifu wa Makka baada ya kutelekezwa na wakala wao. https://youtu.be/RwYsbOmNTKk
Star TV: Serikali imeziagiza mamlaka za mdhibiti wa nishati ya maji EWURA na wadau wa uzalishaji wa nishati ya Gesi kushusha bei ya Umeme.https://youtu.be/EIZUPx9hArk
TBC: Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limewaonya wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kuzingatia Ratiba za kampeni zilizotolewa na NEC. https://youtu.be/f1Dc1Sk-tFU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...