Msafara kutoka Usharika Tukuyu Mjini kuelekea Uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo katika Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravia Jimbo la Kusini, Viwanja vya Michezo Tandanle mjini Tukuyu Leo 
Kwaya Kuu Jimbo la Kusini- Kanisa la Moravian Tanzania; Ibada ya kuwekewa Wakfu Askofu Mteule Kenan Salim Panja wa kanisa la Moravian Jimbo la Kusini uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo.
Picha na Mpeli Nsekela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...