
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday yake.
Unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni
hepi besidei mkuu kuu wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia ughaibuni,mkuu ukiwa nje ya ulingo wa muziki unapendeza na kucheka..lakini ukiwa kibaruani na kikosi chako ni hatari tupu ! baba
ReplyDeleteBaba wa majukwaa ya kimataifa na mkuu kiongozi wa viumbe mazimwi Anunnaki hongera sana kiongozi mungu akuzidishe afya na maisha bora
ReplyDeletemkuu wa FFU ughaibuni kamanda ras makunja unayeongoza himaya ya viumbe wa ajabu inayowakosesha usingizi viumbe wengine hongera sana kaka
ReplyDeleteduh ! kaka brother kamanda Ras Makunja happy birthday 2U ,umependeza kweli mtoni si kariakoo,ungekuwa kariakoo au kinondoni mkuu usingenyonga tai bali manati yangening'inia shingoni na njiwa wa pel kwenu kariakoo wangekukoma
ReplyDeletemkuu baba mtakatifu wa muzimu wa bongo dansi kikamanda ketu Ras Makunja happy birthday mungu akuzidishie umri na afya bora
ReplyDeleteKamanda mkuu Ras Makunja wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia ughaibuni aka Ngoma Afrika band happy birthday mungu akuzidishie umri na afya bora kaka umependeza ukiwa nje ya jukwaa binadamu kweli kweli na ukiwa mzigoni ni kata funua tuuuuuuu
ReplyDeletebro kamanda ras makunja hongera kwa kutimiza miaka 18 disco sasa ruhusa
ReplyDeleteeh! kikamanada chetu ras makunja kiongozi wa watoto wa mbwa ngoma afrika aka ffu-ughaibuni happy birthday kamanda
ReplyDeletekamanda Makunja happy birthday uzidi kubarikiwa na familia yako
ReplyDeleteHappy Birthday Ras Makunja!
ReplyDeleteKheri ya kuzaliwa bwana ibrahim buku
ReplyDeletekamanda Ebrahim makunja aka ras makunja tunakukubali kuwa wewe ni jemadali mpiganaji uliyebakia ktk kulitanga dansi la Bongo kimataifa,tungo za nyimbo zako na uimbaji wako kwa jamii zimekuwa ni chachu ,zina wito na mafunzo kwa jamii,kamanda ras mdundo au muziki wako sio wa kitoto ,endeleza mapambano kamanda wetu na mungu akuzidishie afya na umri
ReplyDelete