Leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU-Ughaibuni  ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam.

Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji  mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday  yake.

Unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hepi besidei mkuu kuu wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia ughaibuni,mkuu ukiwa nje ya ulingo wa muziki unapendeza na kucheka..lakini ukiwa kibaruani na kikosi chako ni hatari tupu ! baba

    ReplyDelete
  2. Baba wa majukwaa ya kimataifa na mkuu kiongozi wa viumbe mazimwi Anunnaki hongera sana kiongozi mungu akuzidishe afya na maisha bora

    ReplyDelete
  3. mkuu wa FFU ughaibuni kamanda ras makunja unayeongoza himaya ya viumbe wa ajabu inayowakosesha usingizi viumbe wengine hongera sana kaka

    ReplyDelete
  4. duh ! kaka brother kamanda Ras Makunja happy birthday 2U ,umependeza kweli mtoni si kariakoo,ungekuwa kariakoo au kinondoni mkuu usingenyonga tai bali manati yangening'inia shingoni na njiwa wa pel kwenu kariakoo wangekukoma

    ReplyDelete
  5. mkuu baba mtakatifu wa muzimu wa bongo dansi kikamanda ketu Ras Makunja happy birthday mungu akuzidishie umri na afya bora

    ReplyDelete
  6. Kamanda mkuu Ras Makunja wa kikosi maalumu cha kutuliza ghasia ughaibuni aka Ngoma Afrika band happy birthday mungu akuzidishie umri na afya bora kaka umependeza ukiwa nje ya jukwaa binadamu kweli kweli na ukiwa mzigoni ni kata funua tuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. bro kamanda ras makunja hongera kwa kutimiza miaka 18 disco sasa ruhusa

    ReplyDelete
  8. eh! kikamanada chetu ras makunja kiongozi wa watoto wa mbwa ngoma afrika aka ffu-ughaibuni happy birthday kamanda

    ReplyDelete
  9. kamanda Makunja happy birthday uzidi kubarikiwa na familia yako

    ReplyDelete
  10. Kheri ya kuzaliwa bwana ibrahim buku

    ReplyDelete
  11. kamanda Ebrahim makunja aka ras makunja tunakukubali kuwa wewe ni jemadali mpiganaji uliyebakia ktk kulitanga dansi la Bongo kimataifa,tungo za nyimbo zako na uimbaji wako kwa jamii zimekuwa ni chachu ,zina wito na mafunzo kwa jamii,kamanda ras mdundo au muziki wako sio wa kitoto ,endeleza mapambano kamanda wetu na mungu akuzidishie afya na umri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...