Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hao ni fake walikuwepo kwenye maamuzi yote ya kugawana majimbo Leo siku sizizozidi 40 unaleta hii porojo ni upuuzi mtupu, watu Kama hawa ni kheri wajiinge na sisiemu hawafai kwenye mabadiliko hata kidogo. NCCR hawakuwa na wabunge hata 5 leo umepewa 22 ni zaidi ya uweze wa chama x 5.

    ReplyDelete
    Replies
    1. CCM inaingiaje kwenye matatizo ya NCCR?Je, unatambua kuwa kumekuwa na sintofahamu katika majimbo mengi nchini ambapo Chadema wamesimamisha waomba wao kinyume na makubaliano? Sasa kama unasaka mchawi ni Chadema na sio CCM.

      Delete
  2. Hawana ishu hawa wanatumika tu, njaa zitawaua....Hawa hawa baada ya trh 25/10 wataanza kulalamika huduma mbovu za hospitali nk. Kuna watu hawako tayari kwa mabadiliko, hata ufanye vipi, inasikitisha sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiendekeze hulka ya kupenda kuburuzwa hata pale dhahiri mambo yanakwenda ndio, sivyo unategemea watu wakae kimya!
      Mlio wengi ni parots mnao imbishwa slogans za mabadiliko lkn 99% hamjui makubaliano ya ndani kati ya akina Mbowe, Lowasa,Mbatia etc.

      Delete
  3. Dah....mdau wa kwanza umenimalizia maneno yote, hawa naona kama wamejidhalilisha mbele ya umati wa waandishi sijui kama wanalijua hilo au ndio uwezo mdogo wa kufikiri.Kisha watu kama hawa ndio wanataka wawe viongozi duh.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...