Home
Unlabelled
HOTUBA YA MWISHO YA JK KUHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA AKIWA RAIS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hotuba nzuri sana.Ni matarajio yangu hawa wanaotaka kutuongoza wameisikia (Na wao amewataja kwa ustadi mkubwa bila ushabiki wa vyama).Na hawa wagombea wetu lazima haya masuala ya kidiplomasia ya kimataifa wayaelewe vizuri,mambo ya uchumi wa dunia,usalama wa dunia,nk.
ReplyDeleteDavid V
Hongera sana Raisi wetu, maraisi wengine kwenye kanda yetu wakiwa wana ngangania kuongeza muda wa kuongoza wewe unaaga.
ReplyDeleteHongera sana umefanya ulilo jaaliwa kufanya wengine watakuja kuendeleza.
Watakao sema huja fanya kitu, waacha umefanya ulio weza inatosha.
Beautiful speech by his excellency.
ReplyDeleteAsante sana Jakaya Mrisho Kikwete. Fidel Castro ana usemi wake 'La historia me absolvera', iko siku watanzania wataelewa mchango wako.
ReplyDeleteAsante sana Mheshimiwa J. M. Kikwete kwa uongozi uliotukuka, hakika tutakukumbuka. Tunakuombea afya njema na uhai mrefu.
ReplyDelete