Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hotuba nzuri sana.Ni matarajio yangu hawa wanaotaka kutuongoza wameisikia (Na wao amewataja kwa ustadi mkubwa bila ushabiki wa vyama).Na hawa wagombea wetu lazima haya masuala ya kidiplomasia ya kimataifa wayaelewe vizuri,mambo ya uchumi wa dunia,usalama wa dunia,nk.

    David V

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Raisi wetu, maraisi wengine kwenye kanda yetu wakiwa wana ngangania kuongeza muda wa kuongoza wewe unaaga.

    Hongera sana umefanya ulilo jaaliwa kufanya wengine watakuja kuendeleza.

    Watakao sema huja fanya kitu, waacha umefanya ulio weza inatosha.

    ReplyDelete
  3. Beautiful speech by his excellency.

    ReplyDelete
  4. Asante sana Jakaya Mrisho Kikwete. Fidel Castro ana usemi wake 'La historia me absolvera', iko siku watanzania wataelewa mchango wako.

    ReplyDelete
  5. Asante sana Mheshimiwa J. M. Kikwete kwa uongozi uliotukuka, hakika tutakukumbuka. Tunakuombea afya njema na uhai mrefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...