Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali
Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph
Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na
mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini
uliojenga Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi mara baada ya kulifungua
rasmi Daraja hilo lenye urefu wa mita 275 na barabara unganishi zenye urefu wa
Km. 48.
Muonekano
wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi lenye uwezo wa kubeba tani 180 na
kudumu kwa miaka 100 kama likilindwa na kupitisha mizigo isiyozidi uzito.
Kama ni ujenzi wa barabara umefanyika hili anayebisha anataka tu kubisha.
ReplyDeleteUjenzi wa barabara umefanyika ni kweli kabisa...je cost za kujenga hizo barabara zinaendana na gharama za mikopo (deni la taifa)..je ubora na upana wa hizo barabara hizo ni kwa ajili ya miaka 30-50 ijayo?.je tumefikiri kujenga hata barabara za njia tatu ambazo zinafocus matumiz ya sasa na baadae?
ReplyDelete