MFUMO WA KIMTANDAO UNAOWEZESHA
KUPOKEA NA KUHAMISHA MIAMALA YA KIFEDHA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE
UNAORATIBIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)
YAANI ‘TANZANIA INTER-BANK SETTLEMENT SYSTEM’ (TISS) WAONGEZA UFANISI
KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire (wa tatu kutoka kushoto), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) na wadau mbalimbali, kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa kuongeza muda malipo ya kibenki kupitia mfumo wa TISS.
Wadau mbalimbali wa Bandari ya Dar es Salaam na waandishi wa habari wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bw Gabriel Migire (hayupo pichani) wakati akieleza mafanikio yaliyopatikana kwa kuongeza muda malipo ya kibenki kupitia mfumo wa TISS, leo asubuhi katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA).
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini-Uchukuzi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...