Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose
Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa
Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla
fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Dkt.Migiro alimwakilisha Rais
Kikwete katika hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi
karibuni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi
baada ya kupokea TuAfrica Achiever’s Award in the Category of Good Governance
in Africa,” kutoka kwa Waziri wa katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro
aliyeipokea kwa niaba ya Rais huko Afrika ya Kusini.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt.Asha Rose Migiro aliyekabidhi Tuzo kwa Rais(Watatu kushoto),Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wapili kushoto), Wamasheria Mkuu wa Serikali
Mh.George Masaju(wapili kulia), Mwenyekiti wa Tume ya Haki Za Binadamu Mhe.Tom
Nyanduga(kulia) na Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mh.Suzan Mlawi(kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya Dkt.Migiro Kumkabidhi Rais Kikwete
Tuzo ya “ Africa Achiever’s Award in the Category of Good Governance in Africa”
ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...