![]() |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi. |
![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo. |
![]() | ||
Mke wa mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga,Youngsevier Msuya,Dorcas Youngsevier akizungumza katika mkutano huo.
|
Mbatia bwana mkono mzito au ndio swaga za siasa......kwikwikwikwi.
ReplyDelete