Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya Ilala Rukia Annaph (kushoto)
akichuana vikali na mchezaji wa timu ya Temeke Christina Daudi katika mchezo wa
nusu fainali ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es
Salaam. Temeke ilishinda 2-1
Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya Ilala Tumaini Michael (Kulia)
akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali
ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke iliibukana na ushindi wa magoli 2-1
Mchezaji wa timu ya soka ya wasichana ya ya Ilala Jackline Albert (Kushoto)
akimtoka mchezaji wa timu ya Temeke Shamimu Hamis katika mchezo wa nusu fainali
ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Temeke ilishinda 2-1.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...