Rais wa Zanzibar Dk. Alli Mohamed Shein akikabidhi hundi ya TZS 60,000,000/-
kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar kwa ajili ya malipo ya fidia
kwa wachumaji wa Karafuu watakaopata ajali Zanzibar.
Watendaji wa Shirika la ZSTC wakitoa msaada wa vifaa kwa vikundi vya Ushirika vya Uwatikaji miche Mkoa wa Kaskazini Unguja.


Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC akiwa ameshika tunzo ya Kimataifa ya ubora wa bidhaa na huduma kutoka Spain.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...