Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Cement ya Twiga Simon
Delens,akizungumza na wafyatua matofali wa Mkoani Mwanza juzi,kwenye
semina ya mafunzo ya kutengeneza matofali imara.
Mhandisi kutoka Kampuni ya Cement ya Twiga Emmanuel Owoya, akitoa maelezo
ya umuhimu wa kuvaa viatu vya usalama wakati wa kazi,kwenye mafunzo ya
matengeneza matofali wa Mkoani Mwanza juzi.
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Cement ya Twiga Simon
Delens,akimpongeza Nickson Cheka(kulia) baada ya kujibu vizuri maswali
Mkoani Mwanza juzi,kwenye semina ya mafunzo ya kutengeneza matofali
imara.
Baadhi ya wafyatua matofali wa Mkoani Mwanza wakiwa na
wafanyakazi wa Kamuni ya saruji ya Twiga baada ya semina ya kuwafundisha mambo
yahusuyo usalama, afya na kutengeneza mtofali yaliyo bora.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...