Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia
wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni
Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani Vijibweni.
Wasanii
wa kikundi cha Ngoma za kitamaduni wakiburudisha wakati wa Uzinduzi Mpango
Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni.
Picha ya mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Pichani hapa mji huu unaonekana utakuwa umepangwa kweli.
ReplyDeleteUsiwe kama mradi wa Dodoma, the capital city!
ReplyDeleteAu tumalize Dodoma kwanzaa?
Au tufute mradi w Dodoma na kutunza pesa kwa ajili ya Kigamboni?