Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani Vijibweni.
 Wasanii wa kikundi cha Ngoma za kitamaduni wakiburudisha wakati wa Uzinduzi Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni.
Picha ya mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pichani hapa mji huu unaonekana utakuwa umepangwa kweli.

    ReplyDelete
  2. Usiwe kama mradi wa Dodoma, the capital city!

    Au tumalize Dodoma kwanzaa?

    Au tufute mradi w Dodoma na kutunza pesa kwa ajili ya Kigamboni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...