Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ila bwana haya mambo ya exchange rates yanaweza kukupa kizunguzungu.Siku kadhaa zilizopita nilibahatika kufika Marekani.Amgalia hii picha....Nikaamua kwenda 'Saluni' ya kawaida sana kunyoa nywele.Nikapokelewa vizuri na 'mdada' kutoka Ethiopia,akaninyoa,akaniosha kichwa vizuri nikaomba "bili" akaniambia dola 21.45 (kama Sh.42,000) nikaguna kidogo nikalipa.Nikatoka nje mvua ikaanza kunyesha nikaamua kuingia duka maarufu CVS Pharmarcy kununua Mwamvuli,nikaupata lakini mdogo kama ilivyo kwenye mazingira yao.Nikaenda kulipa nikaambiwa dola 18 (Sawa Sh.36,000) hivi, nikalipa nikarudi nilikofikia kupumzika.Kitandani nikawa nawaza bei ya "Saluni' za nyumbani na miamvuli hii ambayo huwa nanunua Sh.3,000 tena mkubwa sana.Saluni Sh.2,000 nanyolewa vizuri sana!!

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...