
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Mpendae katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Binti Amran Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
CCM chama cha wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wananchi wote, ikiwemo vijana na wazee waliojipanga vizuri kutimiza ilani ya uchaguzi.
ReplyDelete