Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa
amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni mjini Ngudu , wilayani
Kwimba, jijini Mwanza, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Wananchi wakishangilia kukubali kumpigia kura Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi leo
Sehemu
ya umati wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt
Magufuli,alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba wananchi ridhaa ya
kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,itakapofika Oktoba 25 mwaka
huu.
Sehemu
ya umati wa Wakazi wa mji wa Misungwi wakishangilia walipokuwa
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
chama cha Mapinduzi CCM Dkt Magufuli
Mfano wa karatasi la kipigia kura la wagombea urais wa Tanzania Dk Magufuli na Makamu wake Samia Suluhu Hassan.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika
mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jioni ya leo, ambapo aliwaomba
wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka
huu.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo jioni ya leo.
Tunapokaribia siku ya kupiga kura CCM endelea kung'ara kama chama cha rika zote watoto, vijana na wazee.
ReplyDelete