Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth Jackson mara baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akipigiwa mizinga 21 kabla ya kukagua gwaride la heshima.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Namibia, Hage Geingob pamoja na mwenyeji wake Rais
Jakaya Kikwete wakicheza muziki wa Brass Band walipokuwa wakiangalia vikundi vya burudani vilivyokuwa
vikitumbuiza kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam.
Kwa picha zaidi na Francis Dande BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi na Francis Dande BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...