CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI UINGEREZA, WALES NA SCOTLAND "CCM UK DIASPORA" TUNATOA HONGERA NA PONGEZI KWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWAKE KUWA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA BI, SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
PIA WABUNGE, MADIWANI NA WANACCM NA WASIO WANACCM WALIOFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUFANIKISHA USHINDI ULIOPATIKANA. UMOJA NI USHINDI, SASA #HAPA KAZI TU!
TUNAKUAHIDI USHIRIKIANO WA HALI YA JUU KATIKA KULETA MABADILIKO YA KWELI KATIKA NCHI YETU.
IMETOLEWA NA ABRAHAM SANGIWA - KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI - CCM UK DIASPORA - UINGEREZA, WALES NA SCOTLAND.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...