Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal,tafadhali tuwekee Cv iliyokamilika ili tumuelewe Mheshimiwa huyo kwa ukamilifu, nasi huku uswazi tumjadili vibarazani ili tujiridhishe kama kweli hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Raisi ni mwalimu.
    Waziri mkuu ni mwalimu.

    Hebu tuone kama wataendeleza elimu au wataizika? Kuna walimu wengine hudidimiza elimu. Mvunja nchi mwananchi mwenyewe. huu usemi huenda ukabadilika na kuwa "mjenzi wa nchi ni mwananchi mwenyewe"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...