GLOBU YA JAMII INAWASHUKURU WASOMAJI WETU KWA MAELFU WALIOPITIA POST HII YA DARAJA NA WENGI WAO KUCHANGIA NA KUTUDHIHIRISHIA KWAMBA WAKO MAKINI JAPO BAADHI WAMECHEMKA NA WENGINE KUCHEKESHA. 
KWA HESHIMA NA TAADHIMA TUNAPENDA KUWAPA JIBU KUPITIA KWA MZAWA WA SEHEMU HIYO KAMA IFUATAVYO HAPO CHINI. 
TUNAKUSHUKURU SANA MDAU KWA KUCHUKUA MUDA WAKO NA KUTUPA JIBU LISILO SHAKA AMBALO TUNALIWEKA KAMA LILIVYO HAPA CHINI - ILA JINA KAPUNI. 

 "Picha ya daraja ni kati ya Mwanga na Same, Mkoani Kilimanjaro".

 Regards. 
MDAU WA GLOBU YA JAMII"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 69 mpaka sasa

  1. Kazimzumbwi, kisarawe

    ReplyDelete
  2. Unapoelekea Kisangara kabla ya Mwanga.

    ReplyDelete
  3. Kilomita chache kutoka mwanga kuelekea same mkoa wa kilimanjaro

    ReplyDelete
  4. Manzese kwa mfuga mbwa

    ReplyDelete
  5. ruvu relini!

    ReplyDelete
  6. Hili daraja lipo Lembeni wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Picha ilipigwa kwa kuelekea Same kutokea Mwanga na kwa jina maarufu linaitwa "Daraja la Reli-Juu" na hapo mbele kidogo lipo daraja lingine linaitwa "Reli-Chini". Kushoto kwa hili daraja ndipo inapatikana stesheni ya Lembeni

    ReplyDelete
  7. Mkuu hapo ni kwalaza, kabla ya kufika mizani ya Vigwaza!

    ReplyDelete
  8. Liko Hale Tanga

    ReplyDelete
  9. hili daraja liko kifaru ( mitaa ya same, mwanga )

    ReplyDelete
  10. Lipo mkoa wa Kilimanjaro sehemu za upareni

    ReplyDelete
  11. Daraja liko kati ya Ruvu na Chalinze. Niliwahi kushukia maeneo ya hapo kwa treni iliyokuwa ikitoka Moshi kwenda Dar, ili kupanda basi Abood kwenda Moro. Ni daraja la miaka mingi sana na ni imara.

    ReplyDelete
  12. Lembeni, Same-Moshi road.

    ReplyDelete
  13. Kuelekea Same

    ReplyDelete
  14. liko mkoani kilimanjaro ukitoka Mwanga njiani kwenda Same ni daraja la treni inavuka barabara

    ReplyDelete
  15. Kilimanjaro - kindoroko

    ReplyDelete
  16. TUNAKUPA MJI TUSAIDIE

    ReplyDelete
  17. TUNAKUPA MJI. TUNAOMBA MSAADA WAKO

    ReplyDelete
  18. Hapo ni Wilaya ya Mwanga , Mkoani Kilimanjaro

    ReplyDelete
  19. Hili daraja lipo Same, unapokaribia Lembeni ulitokea Same Mjini.

    ReplyDelete
  20. KAMA UNAENDA MOSHI KABLA YA KUFIKA MWANGA KUNA KAMJI KAMOJA BAAYA YA HAPO KWENYE HIYO KONA

    ReplyDelete
  21. Hili daraja liko Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga mahali panaitwa Lembeni, barabara ya Himo juction to Tanga.

    ReplyDelete
  22. Hili daraja liko Kati ya Same na Mwanga.Ila jina la hako kamji limenitoka nadhani ni Kisangiro au???. mwingine ajazie.

    ReplyDelete
  23. Daraja la Ruvu

    ReplyDelete
  24. Daraja hilo lipo Ruvu ukipita Mlandizi kuelekea chalinze

    ReplyDelete
  25. Maenep ya upareni kabla ya kuingia Mwanga. Ni either Kisangiro or Kisangara

    ReplyDelete
  26. Maenep ya upareni kabla ya kuingia Mwanga. Ni either Kisangiro or Kisangara

    ReplyDelete
  27. Daraja lipo sehemu inaitwa Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro

    ReplyDelete
  28. Daraja liko sehemu inaitwa Lembeni, iliyopo wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro

    ReplyDelete
  29. sasa huyu jamaa mwenye fulana ya kijani anafanya nini hapo, gari-moshi ikija si itabidi ajirushe barabani!

    ReplyDelete
  30. Liko mkoa wa Tanga. kama sikosei lipo baada ya muheza ukitokea Tanga mjini

    ReplyDelete
  31. hapa ni Lembeni - njia ya Same-Himo

    ReplyDelete
  32. Hapa panaitwa Lembeni kama sikosei. Lipo mkoani Kilimanjaro ukitoka mwanga kuelekea same.

    ReplyDelete
  33. hili daraja liko Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga mahali panaitwa Lembeni kwenye njia ya Dar.

    ReplyDelete
  34. Daraja hilo lipo barabara kuu ya Arusha/Moshi to Dar. Hedaru?

    ReplyDelete
  35. DARAJA HILI LIKO WILAYA YA MWANGA SEHEMU INAYOITWA LEMBENI.

    MS. GLORIA PAUL
    UBALOZI WA INDIA
    DAR ES SALAAM

    ReplyDelete
  36. Hili daraja lipo Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muhezi, katika eneo linaloitwa pangamlima.

    ReplyDelete
  37. Hili daraja lipo Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muhezi katika eneo linaloitwa Pangamlima ni karibu na kambi ya maguzoni[Tanesco]

    ReplyDelete
  38. Kifaru - Kilimanjaro

    ReplyDelete
  39. Mbeya kama unaenda uwanja wa ndege wa Songwe

    ReplyDelete
  40. Emmanuel JohnNovember 04, 2015

    Same Kilimanjaro

    ReplyDelete
  41. Vwawa kuekekea tunduma.

    ReplyDelete
  42. Daraja liko Mbeya na juu inapita treni ya Tazara.

    ReplyDelete
  43. Hili daraja liko kwenye barabara ya Himo-Mombo mkoani Kilimanjaro.

    ReplyDelete
  44. Lembeni mkoani Kilimanjaro, kama Luna Zawadi naisubiri

    ReplyDelete
  45. Hapo, ni kinondoni manyanya, nyuma karibu na Nyumbani kwa ankali michuzi.

    ReplyDelete
  46. Daraja lipo Kijiji cha Lembeni,Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro

    ReplyDelete
  47. Kweli ni Lembeni,wilayani MWANGA mkoa wa KILIMANJARO1

    ReplyDelete
  48. Kazimzumbwi kisarawe zaramo

    ReplyDelete
  49. Hapo Mbeya, Senjele ukiwa umetokea Songwe kuelekea Mbozi au ukiwa umetoka Mbozi kuelekea songwe na mbeya mjini.

    ReplyDelete
  50. Daraja lipo Lembeni Mwanga

    ReplyDelete
  51. Lipo mbalizi mbeya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...