GLOBU YA JAMII INAWASHUKURU WASOMAJI WETU KWA MAELFU WALIOPITIA POST HII YA DARAJA NA WENGI WAO KUCHANGIA NA KUTUDHIHIRISHIA KWAMBA WAKO MAKINI JAPO BAADHI WAMECHEMKA NA WENGINE KUCHEKESHA.
KWA HESHIMA NA TAADHIMA TUNAPENDA KUWAPA JIBU KUPITIA KWA MZAWA WA SEHEMU HIYO KAMA IFUATAVYO HAPO CHINI.
TUNAKUSHUKURU SANA MDAU KWA KUCHUKUA MUDA WAKO NA KUTUPA JIBU LISILO SHAKA AMBALO TUNALIWEKA KAMA LILIVYO HAPA CHINI - ILA JINA KAPUNI.
"Picha ya daraja ni kati ya Mwanga na Same, Mkoani Kilimanjaro".
Regards.
MDAU WA GLOBU YA JAMII"
kisangara
ReplyDeleteKazimzumbwi, kisarawe
ReplyDeleteChekereni Moshi.
ReplyDeleteChekereni-Moshi
ReplyDeleteUnapoelekea Kisangara kabla ya Mwanga.
ReplyDeleteKilomita chache kutoka mwanga kuelekea same mkoa wa kilimanjaro
ReplyDeleteManzese kwa mfuga mbwa
ReplyDeleteAiseèe huyu katisha
DeleteMwanga kuelekea same
ReplyDeleteMwanga kuelekea same
ReplyDeleteRuvu
ReplyDeleteruvu relini!
ReplyDeleteHili daraja lipo Lembeni wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Picha ilipigwa kwa kuelekea Same kutokea Mwanga na kwa jina maarufu linaitwa "Daraja la Reli-Juu" na hapo mbele kidogo lipo daraja lingine linaitwa "Reli-Chini". Kushoto kwa hili daraja ndipo inapatikana stesheni ya Lembeni
ReplyDeleteMkuu hapo ni kwalaza, kabla ya kufika mizani ya Vigwaza!
ReplyDeleteLiko Hale Tanga
ReplyDeletehili daraja liko kifaru ( mitaa ya same, mwanga )
ReplyDeletehapo ni mwanga
ReplyDeletehapo Mwanga
ReplyDeleteLipo mkoa wa Kilimanjaro sehemu za upareni
ReplyDeleteDaraja liko kati ya Ruvu na Chalinze. Niliwahi kushukia maeneo ya hapo kwa treni iliyokuwa ikitoka Moshi kwenda Dar, ili kupanda basi Abood kwenda Moro. Ni daraja la miaka mingi sana na ni imara.
ReplyDeleteLembeni, Same-Moshi road.
ReplyDeleteKuelekea Same
ReplyDeleteliko mkoani kilimanjaro ukitoka Mwanga njiani kwenda Same ni daraja la treni inavuka barabara
ReplyDeleteKilimanjaro - kindoroko
ReplyDeleteTUNAKUPA MJI TUSAIDIE
ReplyDeleteTUNAKUPA MJI. TUNAOMBA MSAADA WAKO
ReplyDeleteHapo ni Wilaya ya Mwanga , Mkoani Kilimanjaro
ReplyDeleteHili daraja lipo Same, unapokaribia Lembeni ulitokea Same Mjini.
ReplyDeleteKAMA UNAENDA MOSHI KABLA YA KUFIKA MWANGA KUNA KAMJI KAMOJA BAAYA YA HAPO KWENYE HIYO KONA
ReplyDeleteHili daraja liko Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga mahali panaitwa Lembeni, barabara ya Himo juction to Tanga.
ReplyDeleteMamboleo Tanga
ReplyDeleteMamboleo Tanga
ReplyDeleteDaraja lipo Lembeni Mwanga
ReplyDeleteHili daraja liko Kati ya Same na Mwanga.Ila jina la hako kamji limenitoka nadhani ni Kisangiro au???. mwingine ajazie.
ReplyDeleteDaraja la Ruvu
ReplyDeleteDaraja hilo lipo Ruvu ukipita Mlandizi kuelekea chalinze
ReplyDeleteMaenep ya upareni kabla ya kuingia Mwanga. Ni either Kisangiro or Kisangara
ReplyDeleteMaenep ya upareni kabla ya kuingia Mwanga. Ni either Kisangiro or Kisangara
ReplyDeleteDaraja lipo sehemu inaitwa Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro
ReplyDeleteDaraja liko sehemu inaitwa Lembeni, iliyopo wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro
ReplyDeletesasa huyu jamaa mwenye fulana ya kijani anafanya nini hapo, gari-moshi ikija si itabidi ajirushe barabani!
ReplyDeleteLiko mkoa wa Tanga. kama sikosei lipo baada ya muheza ukitokea Tanga mjini
ReplyDeletehapa ni Lembeni - njia ya Same-Himo
ReplyDeleteHapa panaitwa Lembeni kama sikosei. Lipo mkoani Kilimanjaro ukitoka mwanga kuelekea same.
ReplyDeletehili daraja liko Kilimanjaro, wilaya ya Mwanga mahali panaitwa Lembeni kwenye njia ya Dar.
ReplyDelete...pazuri hapa mwe!
ReplyDeleteDaraja hilo lipo barabara kuu ya Arusha/Moshi to Dar. Hedaru?
ReplyDeleteDARAJA HILI LIKO WILAYA YA MWANGA SEHEMU INAYOITWA LEMBENI.
ReplyDeleteMS. GLORIA PAUL
UBALOZI WA INDIA
DAR ES SALAAM
Hili daraja lipo Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muhezi, katika eneo linaloitwa pangamlima.
ReplyDeleteHili daraja lipo Mkoa wa Tanga,Wilaya ya Muhezi katika eneo linaloitwa Pangamlima ni karibu na kambi ya maguzoni[Tanesco]
ReplyDeletesame
ReplyDeleteTanga
ReplyDeleteKifaru - Kilimanjaro
ReplyDeleteMbeya kama unaenda uwanja wa ndege wa Songwe
ReplyDeleteSame Kilimanjaro
ReplyDeleteFrom segera to tanga
ReplyDeleteVwawa kuekekea tunduma.
ReplyDeleteDaraja liko Mbeya na juu inapita treni ya Tazara.
ReplyDeleteHili daraja liko kwenye barabara ya Himo-Mombo mkoani Kilimanjaro.
ReplyDeleteRuvu hiyo
ReplyDeleteLembeni mkoani Kilimanjaro, kama Luna Zawadi naisubiri
ReplyDeleteHapo, ni kinondoni manyanya, nyuma karibu na Nyumbani kwa ankali michuzi.
ReplyDeleteDaraja lipo Kijiji cha Lembeni,Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro
ReplyDeleteKweli ni Lembeni,wilayani MWANGA mkoa wa KILIMANJARO1
ReplyDeletemwanga
ReplyDeleteKazimzumbwi kisarawe zaramo
ReplyDeleteHapo Mbeya, Senjele ukiwa umetokea Songwe kuelekea Mbozi au ukiwa umetoka Mbozi kuelekea songwe na mbeya mjini.
ReplyDeleteDaraja lipo Lembeni Mwanga
ReplyDeleteLipo mbalizi mbeya
ReplyDelete