Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Faisal Issa (Katikati) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, akifungua Mkutano wa Wadau wa Maji uliofanyika jana Jijini Mwanza kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani.

Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Mwauasa inatarajia kupandisha bei ya maji kutoka wastani wa shilingi 669.00 kwa lita mita moja ya ujazo wa maji ambayo ni sawa na lita 1,000 hadi wastani wa shilingi 1,075.74 hiyo ikiwa ni kwa watumiaji wa majumbani na taasisi huku ujazo kama huo kwa matumizi ya kibiashara na Viwandani ikifikia wastani wa shilingi 1,62500
Kulia ni Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu EWURA
Kushoto ni Osward Mutaitina ambae ni Mjumbe wa Bodi EWURA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...